News

KATIKA kile kinachoonekana kuwa hatua ya mapinduzi kuelekea uchumi wa kidijitali, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeunda kamati mbili maalumu kwa ajili ya kuchunguza, kudhibiti na kusimamia matumizi ya s ...
ZIKIWA zimesalia siku saba kabla ya kuanza kwa kampeni rasmi za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu, joto la uchaguzi linazidi kupanda huku makada wa vyama mbalimbali wakimiminika kuchuku ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amewataka wananchi washiriki kikamilifu katika kusimamia utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa na ofisi yake, ili yatekelezwe k ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo, Agosti 21, 2025, jijini Dodoma. Kikao hicho kime ...
HATUA ya wanawake 13 kujitokeza kugombea urais na nafasi ya mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, imetajwa kuwa ishara njema ya kuonesha kukua kwa usawa wa kijinsia nchi ...
Wizara ya Afya Zanzibar imesema kuwa takribani asilimia 30 ya mama wajawazito visiwani humo wanakabiliwa na changamoto ya afya ya akili. Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya kutoka wizara hiyo, Dk. Sa ...
YOUNG Africans SC (Yanga) is facing a demanding phase of the club’s pre-season as head coach Romain Folz focuses on implementing key tactical principles for the upcoming season. According to the ...
Waliokuwa wafanyabiashara waliopanga katika jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka ...
Wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wameanza kunufaika na uboreshaji wa miundombinu kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC), unaotekelezwa chini ya Wakala wa Baraba ...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza kutoa fomu kwa wagombea wa nafasi ya udiwani wilayani Geita waliopitishwa na vyama vyao kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao. Wagombea waliojitok ...
IN preparation for the upcoming season and the 2025/26 CAF Confederation Cup campaign, Singida Black Stars will participate in the CECAFA Kagame Cup. The club's Information Officer, Hussein Massanza ...
Parents value schools that perform well. Attaining academic excellence demands strategies and plans as nothing good occurs by ...