Fundi mmoja nchini Kenya ameamua kushona suti za mitindo ya kipekee ambazo zimewavutia wengi. Abich Cancious ameamua kuwa nguo anazoshona hasa suruali zinavaliwa kifuani na sio kiunoni. Paula Odek ...